mtotoSheria ya Mtoto Na. 21 ya mwaka 2009 ni waraka unaoshughulikia masuala mengi ya kitaifa yanayohusu haki na ulinzi wa mtoto. Sheria hii pia imechukua mikataba na makubalianoMtoto ni mwanadamu mwenye umri mdogo, asiye mtu mzima bado. Kuna tofauti katika tamaduni mbalimbali kuhusu umri ambapo mtu si mtoto tena. Mtoto kwaujumla hapewi madaraka kama